Mungu anakupenda na alikuumba ili uwe na uhusiano naye
Unaweza kumjua kibinafsi.
Yeye ana mpango mzuri kabisa kwa ajili ya maisha yako. Anataka kuwa pale kwa ajili yako na kukupa matumaini ya baadaye.
Lakini kwa nini watu wengi hawana uhusiano na Mungu? Mungu anaonekana kuwa mbali sana na wao na asiye kuweko.
Lazima kuna sababu…
circle
trip_origin
trip_origin
trip_origin
trip_origin
trip_origin
trip_origin
trip_origin
trip_origin
trip_origin
trip_origin