• Ishi na Roho Mtakatifu. Atakusaidia katika kutembea kwako na Mungu.
  • Kutana na waumini wengine. Anza kuhudhuria kanisa ambako wanampenda Mungu na kuhudhuria ibada kwa uaminifu.
  • Waambie wengine kuhusu Yesu. Mungu anataka kila mtu asamehewe na apate kumjua Yeye.
trip_origin trip_origin trip_origin trip_origin trip_origin trip_origin trip_origin trip_origin trip_origin trip_origin circle