Siku moja watu wote watasimama mbele za Mungu. Mungu ni Mungu wa Upendo, lakini pia ni hakimu wa haki. Lazima atawahukumu watu kwa dhambi zao. Adhabu ya dhambi ni mauti na kuondolewa kwake milele mahali pa kutisha mbali na yeye.

Kwa hivyo tuna shida kubwa…

Dhambi zetu zinatutenga na Mungu
trip_origin trip_origin circle trip_origin trip_origin trip_origin trip_origin trip_origin trip_origin trip_origin trip_origin