Yesu ndiye suluhisho pekee la Mungu
Mungu hataki kuwaadhibu watu. Anataka kurejesha uhusiano. Mungu anawapenda watu sana hata yeye mwenyewe ndiye aliyetengeneza suluhisho. Kutokana na upendo Wake kwetu, alimtuma Yesu duniani. Adhabu yote tuliyostahili iliwekwa juu ya Yesu. Yesu kwa hiari alichukua adhabu yetu kwa kufa msalabani. Yesu alifufuka kutoka kwa wafu. Yeye ni mshindi juu ya dhambi na kifo. Hivyo Yesu ameondoa utengano kati ya Mungu na mwanadamu.
"Kwa maana jinsi hii Mungu aliupenda ulimwengu hata akamtoa Mwanawe pekee, ili kila mtu amwaminiye asipotee, bali awe na uzima wa milele." (Yohana 3:16)
trip_origin
trip_origin
trip_origin
trip_origin
circle
trip_origin
trip_origin
trip_origin
trip_origin
trip_origin
trip_origin