"Yesu akajibu, Mimi ndimi njia na kweli na uzima. mtu haji kwa Baba ila kwa njia ya mimi." (Yohana 14:6)
Mungu humpa kila mtu karama hii bure: msamaha wa dhambi na uhusiano naye.
Unawezaje kupokea karama hii?

trip_origin
trip_origin
trip_origin
trip_origin
trip_origin
circle
trip_origin
trip_origin
trip_origin
trip_origin
trip_origin