Mwamini Yesu!
Unachotakiwa kufanya ni kumwamini Yesu na kile ambacho amekifanya kwa ajili yako.
- Tambua kwamba umetenda dhambi na unahitaji msamaha wake.
- Amini kwamba Yesu pekee ndiye anayeweza kukuokoa kutoka katika dhambi zako. Amini kwamba alikufa kwa ajili ya dhambi zako na kwamba alifufuka kutoka kwa wafu.
- Mwalike Yesu maishani mwako na umfuate.

trip_origin
trip_origin
trip_origin
trip_origin
trip_origin
trip_origin
circle
trip_origin
trip_origin
trip_origin
trip_origin