Kitu cha ajabu kimefanyika!
Punde tu ulipoweka tumaini lako kwa Yesu, kitu cha ajabu kimefanyika: sasa una uhusiano na Mungu! Lakini mambo mengine makubwa yamefanyika pia. Hata kama hauhisi hata mojawapo, yamefanyika. Hautakiwi kuwa na shaka. Haya mambo ni ukweli.
- Yesu alikuja maishani mwako.
- Dhambi zako zimesamehewa.
- Umepokea uzima wa milele.
- Umekuwa mtoto wa Mungu.
- Una uhusiano na Mungu na unaweza kumjua Yeye binafsi.
trip_origin
trip_origin
trip_origin
trip_origin
trip_origin
trip_origin
trip_origin
trip_origin
circle
trip_origin
trip_origin